SPOKENWORD.

I’m pregnant for you imekuwa statement ya kawaida cause wali-legalize abortion,

But akisuffocate ka-new born kwa plastic bag na kutupa kwa takataka,

Please make her understand that she’s a murderer, 

Duniya imekuwa unfair utaweza fungwa na your own finger prints,

Huwezi kuwa msamaria mwema anymore, cause unaogopa kuwa the first suspect, 

Rafiki ndio wamegeuka maadui huwezi kuwajudge kwa their first aspect, 

Ma-Cops watakugeuza into a corpse in a minute hadi tunawaogopa by instincts,

Tribalism ndio inatuongoza, first language ndio inatu-separate by distinct,

Mjomba naomba ukitutembelea epukana na peaceful demonstrations utapoteza maisha, 

Cause slavery ndio bado inatufuata hatuna haki hata ukijaribu ku-quote your rights na kuhakikisha,

Wazee ndio wamegeuka wapenzi wa vijana hadi nimeshakuwa mwoga wa kupenda,

Ila sipendi kuchukia cause naogopa aliyeniumba Mungu kumtenda,

Mambo mengi yananikera hadi yamegeuka chachu ya akili,

Just imagine guilty wakiwa-released kwa court bora apatiane ka-tip kwa wakili,

Just imagine onyango na kamau majirani wakiuana, si hio ni kukosa akili? 

Duniya yamejaa mengi tugeuke tuwe ndugu hata kwa hiari,

Hacha nisiseme mengi nipoteze uhai kiukwelii mimi ni mshairi,

Lakini nisiposema ukweli nani mwingine atakariri?

Chaukweli mimi ni mshairi mwenye vidonda moyoni, ya nini nikufiche?

Chaukweli mimi ni mshairi mwenye vidonda moyoni ya nini nikiufiche?

So every time akisuffocate ka-newborn kwa plastic bag usimfiche umtusi murderer.

Si hata akikupeleka kotini utapeana tu katip kwa wakili

Unakuwa released, na hio si ni kutumia akili. 
(c) Swahiba 2017.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s