SPOKENWORD- A TRIBUTE TO DAD.

Dad kwani wewe huwa hau-travel?

Tangia uende haujawahi niandikia hata kapen-pal,

Ama simu kunipigia ama ni network ndio ilikatwa? uliniachia anga imetanda tanzia, 

Amka twende ni kwa watu waaganao, haukuniaga, haukufuata hata usemi ya wahenga,

Ulitoka tu kighafla na next thing nilisikia ilikuwa ni matanga,

Wanasema njia ya umande wanatembea wawili,

Maybe that’s why walikufuata Wanao wawili,

All along I thought mlikuwa mna-act movie ya Total recall and you’ll be back.

But waliwakulaza kwa kijisanduku then nikaambiwa later ni jeneza.

Dad nikiwaona wenzangu wakitembea na kujivunia babazao hata mate huwa nameza, 

Utakuja lini? Dad kwani wewe huwa hau-travel?

Daddy I wish hio gari ulipanda ingepata puncture ama engine ingeharibika upostpone safari.

It was on a Sunday ukipata your calling call. I wish ile call ungepress red button iwe rejected call. Ama ungeassumme tu iwe kamissed call.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s